AMOS WANJALA ASAJILIWA UHISPANIA
Beki kinda raia wa Kenya Amos Wanjala aliyekuwa Kati ya wachezaji waliosajiliwa na klabu ya nastic soccer academy Uhispania kwa mafunzo ya kuimarisha soka lake sasa ni rasmi amejiunga na klabu ya Atletic Club Torrellano klabu inayoshiriki katika ligi ya daraja la tano nchini humo. Wanjala ni Kati ya wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha Kenya […]
AMOS WANJALA ASAJILIWA UHISPANIA Read More »



