Kitaifa

HATUJAMPATA HUYO MDHAMINI ANAONGELELEWA -BEACH BAY FC

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Beach Bay Peter Mole kutoka eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi amethibitisha kuwa suala la kupatikana kwa mudhamini ni tetesi ambazo zinaenea mitandaoni na kwa sasa hazina ukweli wowote. Amezungumza hayo baada ya kuenea kwa uvumi kuwa kuna bwenyenye aliyejitokeza kwa nia ya kuifadhili klabu hiyo ya daraja la […]

HATUJAMPATA HUYO MDHAMINI ANAONGELELEWA -BEACH BAY FC Read More »

BUMBANI STARS HUENDA IKAACHANA NA MWADUKA BAKARI

Huenda mkufunzi mwaduka Bakari akajiondoa katika klabu ya Bumbani stars kutoka kaunti ya kwale, klabu itakayoshirkki ligi ya Fkf daraja la Kwanza kitaifa msimu ujao. Taarifa zasema kuwa Mwaduka amejiondoa katika klabu hiyo kwa kile kinachotajwa kuwa amekosewa heshima na uongozi wa klabu kuhusu mandalizi ya msimu mpya. Kwenye taarifa za kuaminika ambazo mhusika aliyezungumza

BUMBANI STARS HUENDA IKAACHANA NA MWADUKA BAKARI Read More »

SS ASSAD KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA KAUNTI YA KWALE MICHEZONI

Klabu ya SS Assad ya kaunti ya kwale inayoshiriki katika ligi ya kitaifa ya Super League imetangaza kuwa inalenga kushirikiana na viongozi wa serikali ya kaunti hiyo kwenye kuimarisha talanta za vijana mashinani. Katika mradi wa kuiendeleza SS Asad taarifa zasema kuwa takriban kima cha milioni 15 kitatumika kwenye kuutekeleza bila kukwama kauli ambayo imetolewa

SS ASSAD KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA KAUNTI YA KWALE MICHEZONI Read More »