ENGIN FIRAT YUKO KWENYE SHINIKIZO
Kocha wa timu ya taifa Harambee stars Engin Firat yupo kwenye shinikizo la kutafuta matokeo bora katika mechi ya pili msimu huu ya kuwania tikiti ya kushiriki mashindano ya AFCON 2025 kutoka kwa mashabiki wa Kenya. Kulingana na mashabiki ni mfumo wa kiufundi anaoutumia Firat kwenye kupanga kikosi chake ambacho anaonekana akiacha nje wachezaji muhimu […]
ENGIN FIRAT YUKO KWENYE SHINIKIZO Read More »



