Kitaifa

ALIYEUA AFARIKI

Dickson Ndiema, mwanamume anayedaiwa kumchoma moto mwana Olimpiki wa Uganda Rebecca Cheptegei, na kusababisha kifo chake, amefariki kutokana na majeraha ya moto pia katika hospitali ya Eldoret. Ndiema wiki moja ilopita alimwagia mafuta ya petrol Cheptegei na kumwasha moto jambo ambalo lilimfanya kufariki dunia masaa machache badae kutokana na Mwanariadha huyo wa kike kuungua asilimia

ALIYEUA AFARIKI Read More »