SS ASSAD YAOMBA WADHAMINI
Klabu ya SS Assad imetangaza kuwa iko mbioni kutafuta mdhamini wanapoelekea msimu mpya wa 2024/2025 katika ligi ya Fkf ya kitaifa ya Super League. Kulingana na Mohamed Reni ambaye ni afisa habari katika klabu hiyo ni kuwa kufikia sasa hawajapata mdhamini na ametuma wito kwa makampuni au mtu binafsi kujitokeza na kuishika mkono klabu hiyo […]
SS ASSAD YAOMBA WADHAMINI Read More »



