TOM LANGO KUPIGWA BREKI NA WADAU WA SOKA
Wadau wa soka la mashinani katika zone C ya eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wanapanga kuelekea mahakamani na kusitisha mipango na azma ya mwenyekiti wa shirikihso la soka katika eneo hilo Tom Lango kuwania kiti cha uenyekiti wa shirikihso la fkf wa kaunti ya kilifi. Wakiongozwa na Joshua Kazungu Chadi ambaye ni Kocha […]
TOM LANGO KUPIGWA BREKI NA WADAU WA SOKA Read More »



