Kitaifa

SHABANA YAADHIBIWA

Klabu ya shabana Fc imepewa adhabu ya kucheza mechi tano za ligi bila mashabiki uwanjani baada ya tukio la Vurugu wikendi ilopita. Taarifa ni kuwa shabana walisababisha Vurugu katika uwanja wa Ulinzi Complex na kudburu Maafisa waliokuwa katika mechi hiyo. Kulingana na adhabu shabana watagharamia matibabu ya Maafisa hao pamoja na kukarabati uharibifu wowote katika […]

SHABANA YAADHIBIWA Read More »

FKF YAZINDUA KAMATI YA UCHAGUZI MKUU

Shirikisho la soka la fkf nchini kenya jana lilizindua bodi ya watu watano watakao simamia uchaguzi mkuu ujao wa kitaifa katika shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika mwezi disemba mwaka huu. Bodi hiyo ilichaguliwa na wawakilishi wa vilabu katika kikao maalumu kilichofanyika tarehe 24 mwezi Agosti. Anayeongoza bodi hiyo ya watu watanoni hesbone owila ambaye ameahidi kuandaa

FKF YAZINDUA KAMATI YA UCHAGUZI MKUU Read More »