WACHEZAJI 39 WATEULIWAKUWAKILISHA KILIFI KATIKA MASHINDANO YA KYISA MWEZI APRILI
Wachezaji 39 kutoka mashinani mwa kaunti ya Kilifi wikendi hii walibahatika kupata nafasi ya kipekee kuteuliwa kuingia katika kikosi kitakachowakilisha kaunti ya kilifi katika mashinando ya Kenya Youth Inter County Sports kwenye soka na mpira wa wavu yatakayofanyika kaunti ya Tharaka Nithi kuanzia tarehe 23 mwezi huu. Zoezi hilo lilifanyika katika uwanja wa Mac One […]
WACHEZAJI 39 WATEULIWAKUWAKILISHA KILIFI KATIKA MASHINDANO YA KYISA MWEZI APRILI Read More »



