Kaunti

LIGI YA KAUNTI YA KILIFI ITAANZA KARIBUNI, ASEMA KATIBU

Ligi ya kaunti ya Kilifi licha ya kuchelewa kwake itaanza rasmi tarehe 22 mwezi april mwaka huu baada ya matayarisho ya muda mrefu yalochochezwa na uhaba wa hela kwa vilabu husika ambavyo vimechelewa kulipa ada ya kushiriki ligi hiyo. Kulingana na Japhet Kaingu ambayeni katibu mkuu wa soka la kaunti ya kilifi anasema kwamba takriban […]

LIGI YA KAUNTI YA KILIFI ITAANZA KARIBUNI, ASEMA KATIBU Read More »

ASHTON RANGERS KURINDIMANA NA MARIAKANI YOUTH, KOYUGI AKIPATA HIFADHI

Mechi ya daraja la pili kitaifa kati ya Mariakani Youth dhidi ya Ashton Rangers itakuwa inarindimwa rasmi mchana wa leo (10-4-2023) katika dimba la chuo cha kiufundi cha mariakani mwendo wa saa tisa. Wakati hayo yakijiri mechi ya vija awa mkufunzi Peter Mole waite Beach Bay iliyofaa kufanyika jana katika uwanja wa mjanaheri sasa imeahirishwa

ASHTON RANGERS KURINDIMANA NA MARIAKANI YOUTH, KOYUGI AKIPATA HIFADHI Read More »