WALITUIBIA, ASEMA MKUFUNZI NERO CHISENGA
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Yanga FC Collins Omol amemsuta vikali mkufunzi wa Furunzi FC Nero Chishenga kwa kile anachokitaja kwamba Nero alikosa kufuata sheria za michezo katika harakati za kuwasilisha lalama zake kuhusu mechi ya wikendi ilopita ambapo wawili hao walikutana katika uwanja wa Alaskan na mechi hiyo kutamatika kwa Yanga kuibuka washindi kwa […]
WALITUIBIA, ASEMA MKUFUNZI NERO CHISENGA Read More »



