BARAZA LA CIPK KAUNTI YA TANA RIVER LAMTAKA RAILA ODINGA KUSITISHA MAANDAMANO
Viongozi wa dini ya Kiislamu katika baraza la wahubiri na maimamu CIPK kaunti ya Tana River, wamemtaka kinara wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga kusitisha maandamano ya kila Jumatatu na Alhamisi kuanzia wiki hii kupinga uongozi wa rais William Samoei Ruto. Wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza hilo tawi la kaunti ya Tana River […]
BARAZA LA CIPK KAUNTI YA TANA RIVER LAMTAKA RAILA ODINGA KUSITISHA MAANDAMANO Read More »



