KECOSCE YAWATAKA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIJAMII
Ipo haja ya wananchi pamoja na viongozi wa kijamii katika eneo la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa jumla, kushirikiana ili kutatua baadhi ya changamoto za kiusalama katika jamii. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa mipango katika shirika la kijamii la kuangazia usalama na amani la KECOSCE Maxwell Lumbasi, ambaye ametaja ukosefu wa ajira […]
KECOSCE YAWATAKA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIJAMII Read More »



