HASSAN OLE NADO AMTAKA RAIS RUTO KUTOJIBIZANA NA RAILA ODINGA
Katibu mkuu wa baraza kuu la waislamu nchini SUPKEM Hassan Ole Nado sasa ameitaka serikali kuu kuangazia changamoto zinazowakabili Wakenya na namna ya kuzitatua. Kulingana na Ole Nado, gharama ya maisha inaendelea kuathiri maisha ya wengi na ni lazima mikakati iwekwe ili kuwanusuru Wananchi kwa sasa. Amemtaka Rais William Samoei Ruto kutojiingiza katika majibizano baina […]
HASSAN OLE NADO AMTAKA RAIS RUTO KUTOJIBIZANA NA RAILA ODINGA Read More »



