UHABA WA MAJI WADI YA GONGONI ENEO BUNGE LA GONGONI HUENDA UKAPATA SULUHU
Huenda wakaazi wa wadi ya Gongoni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wakapata suluhu la kudumu kutokana na uhaba wa maji kupitia afisi ya mwakilishi wa wadi hiyo Stephen Baya. Kulingana na kiongozi huyo, wadi hiyo imekuwa ikikabiliwa na uhaba wa maji na kuwepo kwa barabara mbovu jambo ambalo, amesema ni sharti litatuliwe katika […]
UHABA WA MAJI WADI YA GONGONI ENEO BUNGE LA GONGONI HUENDA UKAPATA SULUHU Read More »



