VILABU VYA KINADADA VYALILIA KUTELEKEZWA
Vilabu vya soka la kinadada katika eneo bunge la Malindi kaunti ya kilifi vinalilia kutelekezwa na viongozi wa eneo hilo, viongozi ambao wamefeli kuwashika mkono katika suala la kuendesha mechi zao. Neema Charo ambaye ni nahodha wa klabu ya Malindi Progressive starlets akizungumza katika halfa ya kupenwa vifaa vya michezo na mbunge wa Malindi Amina […]
VILABU VYA KINADADA VYALILIA KUTELEKEZWA Read More »
