MICHEZO YA KITAMADUNI KUPEWA NAFASI PIA MAGARINI
Stephen Baya ambaye ni mwakilishi wadi wa Gongoni, eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi anasema kwamba analenga kuimarisha michezo yote katika wadi yake kama njia moja ya kuinua na kuimarisha vipaji. Amesema hayo asubui ya leo wakati akizungumza na Tama La spoti ambapo amehoji kuwa michezo ya mipira imeangaziwa na kupewa kipaumbele sana tofauti […]
MICHEZO YA KITAMADUNI KUPEWA NAFASI PIA MAGARINI Read More »

