Kaunti

NALENGA KUJIUNGA NA MSABAHA FC BAADA YA KUACHANA NA MOMBASA ELITE – TEMO SAMUEL

Fowadi wa klabu ya Mombasa Elite Temo Samuel ambaye kwa sasa yupo nyumbani baada ya kuachana na klabu hiyo ya Mombasa anasema analenga kujiunga na klabu ya Msabaha FC ambayo kwa sasa ipo katika kiligi ya mkoa kipindi hiki ambacho klabu hiyo inasubiri kucheza mashindano ya kufuzu kuingia ligi ya daraja la pili kitaifa. Kulingana

NALENGA KUJIUNGA NA MSABAHA FC BAADA YA KUACHANA NA MOMBASA ELITE – TEMO SAMUEL Read More »