Kaunti

SAIDIA BEACH BAY, WACHANA NA MKOMBOZI, MKUFUNZI AMSHAURI HARRY KOMBE

Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Pwani Fc Emmanuel Kazungu ambaye sasa ni katibu mkuu wa fkf katika eneo bunge la Magarini amependekeza viongozi wa eneo hilo kupiga jeki vilabu ambavyo viko katika ngazi za juu kisoka kuzidi kuwakilisha eneo Magarini kuliko kuunda timu mpya ambazo hazijasajiliwa katika ligi yoyote. Akizungumza na Tama la Spoti

SAIDIA BEACH BAY, WACHANA NA MKOMBOZI, MKUFUNZI AMSHAURI HARRY KOMBE Read More »

MICHEZO YA KUMNADI YESU KRISTO KUFANYIKA MAGARINI

Harrison Fondo ambaye ni mwenyekiti wa zamani katika shirikisho la soka tawi la eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi ambaye sasa ni kiongozi wa vijana katika kanisa la Baptist eneo bunge la Magarini amesema kwamba kanisa hilo kwa ushirikiano na wainjilisti wa KuzaApp wanalenga kuanzisha mashindano ya michezo mbalimbali kipindi hiki cha likizo ili

MICHEZO YA KUMNADI YESU KRISTO KUFANYIKA MAGARINI Read More »