Kaunti

SIASA MICHEZONI ZAKASHIFIWA MAGARINI

Harrison Fondo ambaye ni mwenyekiti wa zamani katika shirikisho la soka tawi la eneo bunge la Magarini amekashifu vikali hulka ya viongozi kutumia vijana michezoni kujinufaisha au kupata umaarufu wa kisiasa baadala yake  kukuza michezo ili kusaidia vijana. Amesema kwamba jambo hilo limeathiri soka la mashinani kwani vijana wamekuwa wakitelekezwa pindi tu baada ya uchaguzi

SIASA MICHEZONI ZAKASHIFIWA MAGARINI Read More »