VILABU VYA MALINDI VYALILIA BASI
Vilabu vya mashinani katika eneo bunge la Malindi vinazidi kulalamikia hali ngumu ya usafiri wanapoendesha ligi mbalimbali. Mkufunzi Collins Omol ambaye anaiongoza klabu ya Yanga katika daraja la pili kitaifa amesema kwamba amesema kwa sasa usafiri unazidi kuwa kitendawili baada ya basi lililokuwa limenunuliwa na mbunge wa zamani wa Malindi Aisha Jumwa kuharibika. Basi hilo […]
VILABU VYA MALINDI VYALILIA BASI Read More »



