UWEPO WA DEEP SEA DARAJA LA PILI WASISIMUA VILABU LAMU
Mkufunzi wa klabu ya Deep Sea kutoka kaunti ya Lamu Athman Pirezi anasema kwamba hawana matumaini ya kupanda daraja ila kwa sasa wanapigania kusalia ligini angalau waendelee kucheza ligi ya daraja la pili msimu ujao. Akizungumza na Tama La Spoti kupitia njia ya simu Pirezi amesema kwamba msimu wao wa kwanza katika daraja la pili […]
UWEPO WA DEEP SEA DARAJA LA PILI WASISIMUA VILABU LAMU Read More »



