Kaunti

KVA KUANDAA LIGI YA VOLIBOLI MASHINANI

Shirikisho la mpira wa wavu katika kaunti ya Kilifi linalenga kufanya mashindano ya siku mbili wikendi ijayo, mashindano yanayohusisha vilabu mbalimbali vya kaunti hii kwa leo la kuimarisha voliboli ya mashinani. Kulingana na mwenyekiti mpya wa voliboli Kilifi Jimmy Ngala ni kuwa kwa sasa mashindano hayo ya Challenge Cup hayajapata mfadhili hivyo kulazimu, vilabu kujisimamia […]

KVA KUANDAA LIGI YA VOLIBOLI MASHINANI Read More »

MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP YAMETUATHIRI

Mkufunzi wa klabu ya Silver Bullets Sammy KARISA anasema kuwa kucheleweshwa kwa kupewa zawadi za governors cup kwa washindi wa mashindano hayo kumewaathiri pakubwa. Anasema wale ambao walikuwa wakiwasaidia kifedha wamejiondoa kutokana na tetesi kuwa walipewa pesa hizo kisiri kaama viongozi. Anasema yeye kama kocha alikuwepo katika kikosi cha Junju kama mshauri tu wa benchi

MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP YAMETUATHIRI Read More »