KLABU YA AC KATHAMA YAADHIBIWA
Mchezaji wa klabu ya AC Kathama klabu inayoshiriki ligi ya Fkf katika eneo bunge la Malindi mwite Bernard Tuva amefungiwa mechi mbili mfululizo kutokana na kushiriki katika mechi akijua kuwa alikuwa amepigwa kadi nyekundu katika mechi ya awali dhidi ya Bombi Fc . Kutokana na hilo AC Kathama wamepokonywa alama zote tatu walizoshinda na kupewa […]
KLABU YA AC KATHAMA YAADHIBIWA Read More »



