KOMBE LA GAVANA LIMEZAA KIKOSI CHA KYISA!
Mashindano ya Governors Cup katika kaunti ya Kilifi ndio mashindano ambayo yamesaidia pakubwa upatikanaji wa kikosi kitakachowakilisha Kilifi katika mashindano ya KYISA mwaka huu, mashindano ambayo yalizinduliwa jana na yameanza rasmi hii leo. Kulingana na kocha wa kikosi cha wavulana Rio Ngumao ni kuwa mashindano ya Governors Cup ambayo fainali zake zilipigwa jana katika uwanja […]
KOMBE LA GAVANA LIMEZAA KIKOSI CHA KYISA! Read More »



