BASKET BALL KILIFI INAKIBARUA!
Mchezo wa basketball kutokuwa maarufu katka kaunti ya kilifi ni jambo ambalo limechangia kuwa na changamoto za kupata talanta za mchezo huo kwenye mawindo ya talanta za kuwakilisha kaunti hii kwenye mashindano ya KYISA mwaka huu. John Ochola ambaye ni mkufunzi wa basket ball anayeshiriki kuiongoza timu ya kaunti ya kilifi kwa ajili ya maandalizi […]
BASKET BALL KILIFI INAKIBARUA! Read More »



