Dr. AGGREY NDIO MABINGWA WA TAITA TAVETA
Kikosi cha Soka Ya Wavulana cha Shule Ya Upili Ya Dr. Aggrey Ndio Mabingwa Kaunti Ya Taita Taveta Baada Ya Kuitandika shule ya upili ya Timbila Mabao 2-1 Kwenye Mchezo Wa Fainali Iliochezwa Dimba La Kenyatta High. Vijana Hao Wa Mkufunzi Hamisi Masusa Sasa Wataiwakilisha Kaunti Hiyo Katika Ngazi Ya Ukanda Wa Pwani. Wakati hayo […]
Dr. AGGREY NDIO MABINGWA WA TAITA TAVETA Read More »



