WITO WA KUPIGA JEKI GOFU WATOLEWA
Wadau wa mchezo wa gofu kaunti ya Kilifi sasa wanaitaka serikali ya kaunti hiyo kupitia idara ya vijana na michezo kuangazia zaidi mchezo huo. Kulingana na mchezaji gofu ambaye ni mwanachama katika klabu ya gofu ya Malindi Raphael Diwani, gofu ni mchezo ambao endapo utaangaziwa vizuri na idara husika unaweza kuwa kitega uchumi kwa wachezaji […]
WITO WA KUPIGA JEKI GOFU WATOLEWA Read More »



