SOKA LA KINADADA TATIZO NI PESA
Zaidi ya wasichana 100 katika kaunti ya Kilifi walihisika katika michuano ya kinadada ya ukumbusho wa Shujaa wa wamijikenda Mekatilili wa menza katika eneo bunge la Magarini wikendi ilopita. Hii imetafsiriwa kama mwamko mpya katika soka la kinadada katika ugatuzi hilo ambalo soka la wanaume limeshamiri kuliko la kinadada. Hata hivyo kulingana na waandalizi wa […]
SOKA LA KINADADA TATIZO NI PESA Read More »



