MBOSO NA MWAMBEGU WAELEZA KUHUSU MISTAKABALI YAO
James Mboso Baraka mchezaji wa klabu ya Babylon kutoka Gongoni eneo bunge la Magarini anafikiria kurejea katika klabu yake ya zamani Beach Bay. Kiungo huyo aliyengaa katika mashindano ya hivi punde zaidi ya Dola Super Cup anafikiria kuanza msimu mpya na kocha James mkutano katika ligi ya daraja la pili. Huku hayo yakijiri Hassan Mwambegu, […]
MBOSO NA MWAMBEGU WAELEZA KUHUSU MISTAKABALI YAO Read More »



