UONGOZI WA BULLS UACHIWE JAMII
Meneja wa klabu ya Yanga Fc Collins Omol ndio mdau wa soka wa hivi punde zaidi kutoa kuwa usimamizi wa klabu ya Young Bulls unafaa kupeanwa kwa jamii na wala sio kwa mtu mmoja Ameyasema hayo baada ya Young Bulls kuzidi kupitia changamoto chungu nzima katika siku ya hivi punde za hivi punde kutokana na […]
UONGOZI WA BULLS UACHIWE JAMII Read More »



