Kaunti

WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI YA LAMU WATISHIA KUFANYA MAANDAMANO BAADA YA SIKU SABA.

Wahudumu wa afya katika kaunti ya lamu wametoa makataa ya siku saba  kwa serikali ya kaunti ya Lamu, wakiitaka kushughulikia changamoto zote wanazopitia la sivyo watasusia kazi hadi pale matakwa yao yatakapo shughulikiwa. Aidha wamesema kuwa wanapitia changamoto nyingi katika kazi yao, hivyo kuitaka serikali ya Kaunti ya Lamu kuwaskiliza na kutekeleza wajibu wake. Wahudumu […]

WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI YA LAMU WATISHIA KUFANYA MAANDAMANO BAADA YA SIKU SABA. Read More »

GAVANA WA MOMBASA APUUZA KAULI YA MKAGUZI WA BAJETI NCHINI MARGARET NYAKANG’O.

Gavana wa kaunti ya Mombasa, Abdulswamaad Sharrif Nassir amekashifu vikali hatua ya mkaguzi mkuu wa bajeti Magaret Nyakang’o kuwataja magavana nchini kusitisha shughuli za utoaji wa basari. Kwa mujibu wa Shariff, serikali za kaunti zinapaswa kupewa nafasi ya kutumikia wananchi wake hasa katika masuala ya kufadhili elimu ya wanafunzi wanaotoka familia zisizo kuwa na uwezo

GAVANA WA MOMBASA APUUZA KAULI YA MKAGUZI WA BAJETI NCHINI MARGARET NYAKANG’O. Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATUMIA MFUMO WA KILIMO NYUNYIZI KUTATUA TATIZO LA BAA LA NJAA.

Serikali ya kaunti ya kilifi kupitia idara ya kilimo na uchumi wa rasilimali za bahari na maziwa inaendeleza mikakati ya kukabiliana na ukosefu wa chakula jambo ambalo limekuwa likishuhudiwa katika maeneo mbali mbali ya kaunti hii kwa muda mrefu. Kulingana na  waziri wa kilimo na uchumi wa rasilimali za bahari na maziwa Peterson Chula, idara

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATUMIA MFUMO WA KILIMO NYUNYIZI KUTATUA TATIZO LA BAA LA NJAA. Read More »