TUNALENGA NSL – GAUCHO
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Young Bulls maarufu kama Gaucho anasema kwamba matumaini yapo kwa klabu hiyo kupanda daraja msimu ujao hadi National Super League. Gaucho anazungumza hayo baada ya kuitandika mahasimu wao mjini Malindi, , klabu ya Malindi Progressive kichapo cha mabao 2-1 wikendi ilopita katika uwanja wa shule ya upili ya wavulana Malindi. […]
TUNALENGA NSL – GAUCHO Read More »



