Kaunti

WANAOJIUNGA NA SHULE ZA UPILI WATAKIWA KUTOCHAPISHA FOMU KUHUSIANA NA SHULE WANAZOPASWA KUJIUNGA NAZO KAMA HAWARIDHISHWA

Wazazi wa wanafunzi wanaopaswa kujiunga na shule za upili mwaka huu wa 2023 wametakiwa kutochapisha fomu zilizo na taarifa kuhusiana na shule wanazopaswa kujiunga nazo, iwapo hawana uwezo ama hawajaridhishwa na taasisi hizo na badala yake waziwasilishe katika afisi za elimu kwenye maeneo yao. Haya ni kwa mujibu wa katibu wa muungano wa walimu wa […]

WANAOJIUNGA NA SHULE ZA UPILI WATAKIWA KUTOCHAPISHA FOMU KUHUSIANA NA SHULE WANAZOPASWA KUJIUNGA NAZO KAMA HAWARIDHISHWA Read More »

TAKRIBANI MICHE 500 INATARAJIWA KUPANDWA KWENYE SHAMBA LA AKAMBA HANDCRAFT KAUNTI YA MOMBASA

Mwakilishi wa wadi ya kipevu kaunti ya Mombasa Leila Nyache ameshirikiana na machifu, wazee wa mitaa na mabalozi wa nyumba kumi kwenye zoezi la upanzi wa miti ndani ya shamba la AKAMBA HANDCRAFT eneo bunge la changamwe kaunti hiyo ya Mombasa. Akiongea na wanahabari wakati wa zoezi hilo leila amesema wanapania  kupanda miti mia tano

TAKRIBANI MICHE 500 INATARAJIWA KUPANDWA KWENYE SHAMBA LA AKAMBA HANDCRAFT KAUNTI YA MOMBASA Read More »

HIMIZO LATOLEWA KWA WATU WA KWALE KUTOKUTENGANA KWA MISINGI YA DINI

Kiongozi wa vijana katika kaunti ya Kwale, Hafswa Mohamed amesisitiza haja ya wakaazi kujumuika na kushirikiana pasipo kutengana kwa misingi ya kidini. Hafswa amesema baadhi ya dhana potovu zilizopo katika dini huchangia mgawanyiko baina ya wakaazi kwani kupitia dhana hizo utengano hudhihirika miongoni mwa wanajamii. Kiongozi huyo amesema kuwa viongozi wa dini pia wanapaswa kuwa

HIMIZO LATOLEWA KWA WATU WA KWALE KUTOKUTENGANA KWA MISINGI YA DINI Read More »