SERIKALI KUU YATAKIWA KUHIFADHI ARDHI ZOTE ZENYE UTATA KAUNTI YA LAMU
Wanaharakati wa maswala ya kijamii kaunti ya Lamu wameitaka serikali ya kitaifa kuhifadhi ardhi zote zinazokumbwa na utata wa umiliki katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na Abdulwahid Mohamed, wanaharakati hao wamesema kuwa sehemu kubwa ya ardhi katika wadi ya Mkunumbi imegubikwa na kesi zilizowasilishwa mahakamani. Kufuatia hilo, Abdulwahid ameshinikiza serikali kutoa uhifadhi wa ardhi zote zenye […]
SERIKALI KUU YATAKIWA KUHIFADHI ARDHI ZOTE ZENYE UTATA KAUNTI YA LAMU Read More »



