Kaunti

WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI KUIMARISHA MICHEZO YA KINA DADA PWANI

Viongozi wa kaunti za pwani washauriwa kuimarisha michezo ya kinadada ili kuwaepusha vijana hao kutokana na majanga mengi katika jamii yakiwemo mimba za mapema. Wito huo umetolewa na mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive academy, Neema Charo ambaye amedai kwamba kijana wa kiumo kwa muda sasa amekuwa akiangaziwa katika michezo. Mkufunzi huyo anasema kwamba viongozi […]

WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI KUIMARISHA MICHEZO YA KINA DADA PWANI Read More »

WACHEZAJI WAMEOLEWA, TUNATAFUTA WACHEZAJI WENGINE – JOYCE UNDA

Mkufunzi mkuu wa Kilifi Starlets Joyce Unda anasema sasa wanalenga kutafuta wachezaji wapya katika klabu hiyo ili kuchukua nafasi ya wachezaji walioondoka kujitafutia ajira na wengine kuolewa baada ya likizo ndefu msimu jana ulipotamatika. Klabu hiyo iliyopanda daraja hadi ligi ya mkoa imekosa wachezaji wa kutosha kuchezea klabu hiyo kutokana na hali ya uchumi na

WACHEZAJI WAMEOLEWA, TUNATAFUTA WACHEZAJI WENGINE – JOYCE UNDA Read More »