FAMILIA YA RITA PILI MWANAFUNZI KUTOKA KASUFINI YAHOFIA HUENDA AKAKOSA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA
Familia moja eneo la Kasufini, Shella, kaunti ndogo ya Malindi kaunti ya Kilifi inahofia kuwa huenda mwana wao akakosa kutimiza ndoto zake za kujiendeleza kimasomo kutokana na hali ya uchochole unayowakumba. Wakiongozwa na Mapenzi Katana wanafamilia hao wamesema kuwa hawana uwezo wa kumfikisha msichana wao katika shule ya upili aliyoitwa ya Lirhanda kule kaunti ya […]



