Kaunti

VIJANA KATIKA KAUNTI YA KILIFI KUHUSISHWA KWENYE MASUALA YA MIRADI NA UONGOZI WA KAUNTI YA KILIFI

Waziri wa masuala vijana, jinsia na michezo kaunti ya Kilifi Dama Masha, ameadhi kushirikiana na mashirika ya kijamii pamoja na vijana wa kaunti ya Kilifi, ili kuunda sheria ambazo zitasaidia kuhakikisha vijana wanahusishwa katika masuala ya miradi na uongozi wa kaunti ya Kilifi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha vijana kuhusiana na masuala

VIJANA KATIKA KAUNTI YA KILIFI KUHUSISHWA KWENYE MASUALA YA MIRADI NA UONGOZI WA KAUNTI YA KILIFI Read More »

HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI KAUNTI YA KWALE KUWARUHUSU WATOTO WAO WA KIKE KUCHANJWA CHANJO YA HPV

Wenyeji wa kaunti ya Kwale wameshinikizwa kuwaruhusu watoto wao wa kike walio kati ya umri wa miaka 10 hadi 14 wanapata chanjo ya kuzuia saratani ya kizazi ya HPV. Kulingana na waziri wa afya kaunti hiyo ya Kwale, Francis Gwama saratani imeathiri zaidi ya asilimia 40 ya wanawake hivyo kuna haja ya wakaazi wa kaunti

HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI KAUNTI YA KWALE KUWARUHUSU WATOTO WAO WA KIKE KUCHANJWA CHANJO YA HPV Read More »