IDADI YA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA JSS KAUNTI YA MOMBASA YAFIKIA ASILIMIA 70
Mkurugenzi wa elimu kaunti ya Mombasa Peter Magiri amesema idadi ya wanafunzi ambao wanajiunga na masomo ya Sekondari Msingi katika kaunti hiyo imefikia asilimia 70. Akizungumza baada ya kufanya ziara ya kielimu kwenye shule ya upili ya wasichana ya Mbaraki katika kaunti ya Mombasa, Magiri amesema masomo ya wanafunzi hao yanaendelea vyema japo kuna msongamano […]
IDADI YA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA JSS KAUNTI YA MOMBASA YAFIKIA ASILIMIA 70 Read More »



