SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUWAFADHILI KIMASOMO WANAFUNZI WANAOTOKA MAENEO YA BASUBA
Naibu Kamishna wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua amesema wanafunzi ambao wanatoka kwenye familia zisizojiweza na ambao wanapata zaidi ya alama ya 250 kwenye mtihani wao wa darasa la 8 KCPE watafadhiliwa masomo yao ya upili na serikali ya kaunti ya Lamu ili kuendeleza masomo yao. Kulingana na Munyua, wanafunzi kutoka maeneo ya Basuba ambao […]
SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUWAFADHILI KIMASOMO WANAFUNZI WANAOTOKA MAENEO YA BASUBA Read More »



