MIRAJJ ABDILLAHI AWAHIMIZA VIONGOZI WA PWANI KUIPA ELIMU KIPAUMBELE
Seneta mteule Miraj Abdillahi ametoa wito kwa viongozi wa kanda ya pwani kuipa elimu kipaumbele. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa Miraj amesema ni lazima kuwe na mikakati ambayo itawekwa na viongozi, wadau mbalimbali pamoja na serikali katika kuhakikisha sekta ya elimu inaimarika kanda ya pwani. Miraj amesema ili viwango vya elimu viimarike kanda ya pwani […]
MIRAJJ ABDILLAHI AWAHIMIZA VIONGOZI WA PWANI KUIPA ELIMU KIPAUMBELE Read More »



