Kimataifa

ARNE SLOT KUJIZUIA

  Kocha mpya wa Liverpool Arne Slot ambaye ameanza kibaruachake kwa kasi ya kuridhisha kwa mabosi wake pamoja na mashabiki anasema kuwa analenga kujirekebisha kwenye kupeana maelekezo wakati mechi ikiendelea anapowarekebisha wachezaji wake katika mbavu za uwanja wanaposimama wakufunzi. Amedokeza kuwa baadhi ya marefa sasa wameanza kukosa kumwelewa jinsi anavyofoka na kuhisi kuwa huenda anakosa

ARNE SLOT KUJIZUIA Read More »