Kimataifa

MASHABIKI WA YOUNG BULLS NA SS ASSAD WALALAMA

Mashabiki wa klabu ya Young Bulls wanazidi kueleza kutoridhishwa na matokeo mazuri baada ya jana timu yao kupigwa mabao 5-1 dhidi ya Bumbani Stars nyumbani Alaskan. Katika mechi ya jana mashabiki walianza kuondoka uwanjani mechi ikiendelea wakidai kuwa matokeo mabaya ya timu hiyo hayawavutii Licha ya matokeo hayo mashabiki wengi walijitokeza jana wakiwemo viongozi wa […]

MASHABIKI WA YOUNG BULLS NA SS ASSAD WALALAMA Read More »