UEFA KUFANYA MABADILIKO
Baada ya kuleta Mfumo mpya wa Kuzishirikisha timu thelathini na Sita kwenye Michuano ya UEFA, Hivi sasa Shirikisho la Soka la KLabu Bingwa Ulaya linapania kuleta marekebisho mengine ligini, likitaka kudondosha muda wa Nyongeza kuelekea kwenye Mechi za Mchujo. Hii Ni Kumaanisha ya kwamba iwapo Mshindi hatapatikana baada ya Dakika Tisini za Mechi, basi Moja […]
UEFA KUFANYA MABADILIKO Read More »



