Kimataifa

FOREST YASELELEA FA

Klabu ya Nottingham Forest imefuzu kwenye hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Emirates FA Cup, wakiwabandua Ipswich kwenye Kinyang’anyiro Hicho kupitia mikwaju ya Penalty, baada ya Kutoka Sare kwenye Muda wa Kawaida. Kufuatia Ushindi Huo Nottinghama Forest sasa wataekeana Miadi Na Brighton, Manchester City dhidi Bournmouth, Preston Dhidi ya Aston Villa, Huku Fulham waliowabandua

FOREST YASELELEA FA Read More »

RUDIGER NA ALABA WAPONA, VINI AKIPANGA KUBAKI REAL

Beki wa Ujerumani Antony Rudiger pamoja na David Alaba ni kati ya wachezaji wa Real Madrid ambao wanatarajiwa kurejea kikosini baada ya kumaliza kuuguza majeraha yao. Wachezaji hao walikosekana katika mechi ya mchujo dhidi ya Manchster City hiyo jana na kumfanya kocha wa Real Don Carlo Ancelloti kumtumia beki mchanga Raul Asencio raia wa Uhispania.

RUDIGER NA ALABA WAPONA, VINI AKIPANGA KUBAKI REAL Read More »