LIVERPOOL YABANDULIWA UEFA
Hii imekua mara ya kwanza kwa Vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool, kubanduliwa Nje ya michuano ya Ulaya baada ya Kushinda mechi ya Mkondo wa kwanza Nyumbani, The Reds wakiiyaga Mashindano ya Klabu Bingwa ulaya hapo jana. Liverpool walaipoteza kupitia Mikwaju minne kwa Moja ya Penalti, baada ya Kutoka sare ya Goli Moja kwa […]
LIVERPOOL YABANDULIWA UEFA Read More »


