LUKAKU AFIKISHA MABAO 400
Mshambuliaji wa Klabu ya Napoli na Timu ya taifa Ya Ubelgiji Romelu Lukaku , hapo jana usiku alitinga Goli Lake la Kihistoria kwenye Ushidi wa Napoli Dhidi Ya Ac Milan, akifikisha Ujumla Wa Magoli mia nne kwa Klabu yake Na Timu ya Taifa. Kwenye Taaluma yake Ya Miaka Kumi na Sita Lukaku ameziwakilisha Timu nane […]
LUKAKU AFIKISHA MABAO 400 Read More »



