HARRY MAGUIRE KUPOKONYWA UNAHODHA
Harry Maguire ambaye amekuwa nahodha wa klabu ya Manchester United kule uingereza atapokonywa unahodha huo hata ikitokea hajauzwa msimu huu. Majarida kadhaa yameripoti kwamba huenda Bruno Fernandes akapewa kitambaa hicho au Casemiro kuelekea msimu ujao. Harry Maguire kwa sasa ameonekana hayupo kabisa katika mipango ya mkufunzi Erick Ten Hag na amewekwa mnadani huku vilabu kadhaa …