LIVERPOOL YATISHA VILABU ULAYA
Klabu ya Liverpool Jumapili ilirefusha uongozi wao wa ligi na alama 9 baada ya kuinyuka klabu ya Manchester City kichapo cha mabao 2-0 katika uwanja wa Anfield. Ni mechi ambayo ilimshuhudia mholanzi Cody Gakpo akiingia kambani kunako kipindi cha kwanza kabla ya Mohamed Salah kufunga bao la pili kupitia mkwaju wa tuta baada ya pale […]
LIVERPOOL YATISHA VILABU ULAYA Read More »



