Kimataifa

VINICIUS JR ASEMA ATAFANYA BIDII MARA 10 KUSHINDA TUZO MSIMU HUU

Vinicius Jr ambaye ni Mshambuliaji wa timu ya taifa Uhispania anasema analenga kujituma mara kumi zaidi ya alivyofanya msimu jana ili kuandikisha tuzo kubwa msimu huu. Ameyasema hayo baada ya msimu jana Vini Jr kukosa kushinda tuzo za Ballon Dior zilizofanyika usiku wa kuamkia leo. Rodri, kiungo wa klabu ya Manchester City na Uhispania ndio […]

VINICIUS JR ASEMA ATAFANYA BIDII MARA 10 KUSHINDA TUZO MSIMU HUU Read More »

ANTHONY TAILOR NDIO REFA WA MECHI YA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL JUMAPILI

Ligi kuu nchini Uingereza imetoa taarifa kuwa Anthony Tailor ndiye atakaye kuwa refa wa mechi ya mechi itakayokutanisha Liverpool dhidi ya Arsenal wikendi ijayo. Arsenal ambayo ilipigwa bao 2-0 na Bournemouth katika Dimba la ugenini. Hata hivyo kiungo wa Kati raia wa Uingereza Declan Rice anatarajiwa kukosa mechi hiyo Rice ataikosa mechi hiyo kutokana na

ANTHONY TAILOR NDIO REFA WA MECHI YA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL JUMAPILI Read More »