ENZO MARESCA NA COLE PALMER WASHINDA TUZO ZA SEPTEMBA
Kocha wa klabu ya Chelsea Enzo Maresca ndiye kocha bora wa mwezi September baada ya tuzo hizo kutangazwa rasmi hii leo. Maresca ameshinda tuzo hiyo ambayo ndiyo yake ya kwanza katika ligi kuu nchini uingereza baada ya kutopoteza mechi hata moja ndani ya mwezi huo. Chelsea imeshinda mechi tatu na kutoa sare moja. Kocha huyo […]
ENZO MARESCA NA COLE PALMER WASHINDA TUZO ZA SEPTEMBA Read More »



